Rais Samia amewataka viongozi wa Wilaya na Halmashauri ya Longido kuwasimamia watumishi wa Wilaya hiyo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi wa Wilaya na Halmashauri ya Longido mkoani Arusha  kuwasimamia watumishi wa Wilaya hiyo ili wawe na maadili na nidhamu na kuwachukulia hatua pale watumishi hao wanaopokosea. Mhe. Rais Samia ametoa maagizo hayo tarehe 18 Oktoba, 2021 wakati akihutubia wananchi wa Longido katika